5 Mar 2026 1:47 pm | Citizen TV 23,833 views Duration: 1:59 Mwanamke mmoja aliyekaa gerezani kwa miaka 25 katika Gereza la Wanawake la Embu hatimaye ameachiliwa huru. Hata hivyo, furaha ya uhuru wake imegubikwa na huzuni baada ya familia yake kukataa kumpokea nyumbani.