1,040 views
Duration: 3:35
Rais William Ruto ametangaza kwamba serikali itawalipia ada za halmashauri ya afya ya jamii-SHA, wakenya Milioni 1.5 ambao hawawezi kumudu gharama hiyo. Akiongea katika ikulu ya Nairobi ambako alikutana na viongozi kutoka kaunti ya Turkana, kiongozi wa taifa alifichua kwamba utaratibu wa utoaji malipo hayo utaanza wiki ijayo kufuatia kukamilishwa kwa shughuli ya kuwatambua wastahiki. Kama anavyotuarifu Abdiaziz Hashim, rais Ruto pia aliwakashifu wanaokosoa hazina ya Hasla, akisema tangu kuanzishwa kwake mwezi Novemba mwaka 2022, shilingi Bilioni 72 zimetolewa kwa wakenya wa kawaida.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News