Skip to main content
Skip to main content

Mfumo mbadala wa kuamua kesi

  • | Citizen TV
    216 views
    Duration: 2:53
    Jaji Mkuu Martha Koome amesema idara ya mahakama inatambua juhudi zinazopigwa na mfumo mbadala wa kutatua mizozo miongoni mwa jamii zinazoishi Kaskazini Mashariki kwa kufanyia haki wanyonge na kupunguza uhasama na chuki miongoni mwao