Skip to main content
Skip to main content

Daktari ashambuliwa eneo la Cherangany Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    1,083 views
    Duration: 1:40
    Taharuki imetanda miongoni mwa wahudumu wa afya kaunti ya Trans Nzoia baada ya daktari mmoja kushambuliwa katika eneo la Cherangany, shambulizi linalodaiwa kufanywa na familia ya mgonjwa aliyemhudumia