Skip to main content
Skip to main content

Mgogoro wa ardhi Mwea

  • | Citizen TV
    345 views
    Duration: 1:52
    Mazungumzo ya kutafuta suluhu kuhusu mgogoro wa umiliki wa ekari 44,000 za ardhi ya makazi ya Mwea, Mbeere Kusini, yamegonga mwamba katika Mahakama ya Embu baada ya baadhi ya maafisa wa serikali kukosana kujiwasilisha kwenye mazungumzo hayo