3 Sep 2025 11:01 am | Citizen TV 193 views Duration: 1:34 Selikali kuu ikishirikiana na Shirika la kitaifa la afya ya mimea nchini (KEPHIS) imeanza ukaguzi wa kunasa wafanyabiashara wanaouza mbegu bandia kwa wakulima