Skip to main content
Skip to main content

Ofisi ya Rais Ruto yatumia ksh.800m kuchapisha kadi mwaka wa kifedha uliopita

  • | Citizen TV
    4,071 views
    Duration: 3:08
    Ofisi ya Rais William Ruto ilitumia shilingi milioni 800 katika mwaka wa kifedha uliopita kuchapisha stakabadhi za afisi yake.Ripoti ya mdhibiti wa bajeti Margaret Nyakang’o pia imeonyesha kwamba Ikulu ya Nairobi ilitumia shilingi milioni 400 katika mwaka huo, kukarabati na kutia nakshi Ikulu