Skip to main content
Skip to main content

Vijana wa bonde la ufa wawakashifu wanaopinga maendeleo mashinani

  • | Citizen TV
    242 views
    Duration: 1:27
    Vijana kutoka Bonde la Ufa wamewakashifu baadhi ya viongozi wanaonekana kutounga mkono makundi mbalimbali kupata vifaa vya kazi kwenye mpango wa serikali wa kuwawezesha kupata ajira. Aidha vijana hao wamesema kuwa ni hiari ya Rais kuchagua ni kikundi kipi atakutana nacho huku wakipuuza madai kuwa kuna jamii inatengwa katika mipango hiyo.