Skip to main content
Skip to main content

Maonyesho ya Kilimo kaunti ya Mombasa yaanza rasmi leo

  • | Citizen TV
    739 views
    Duration: 3:53
    Maonyesho ya kilimo kaunti ya Mombasa yameng'oa nanga hii leo. Washiriki zaidi ya 1,000 wanatarajiwa kuhudhuria maonyesho hayo ya kimataifa yakilenga kupiga jeki kilimo cha kisasa kutokana na mabadiliko ya tabianchi pamoja na mifumo ya kibiashara inayolenga kukuza uchumi. Rais William Ruto anatazamiwa kufungua rasmi maonyesho hayo hapo kesho.