Skip to main content
Skip to main content

Bunge kuanza kuwahoji walioteuliwa kuwa Mabalozi

  • | Citizen TV
    1,053 views
    Duration: 2:10
    Maafisa walioteuliwa na Rais Willaim Ruto kuwa mabalozi wa mataifa tofauti leo wameanzahojiwa Bungeni. Waliohojiwa leo ni pamoja na aliyekuwa waziri Florence Bore ambaye alitakiwa kueleza kuhusu uhusiano wake na chama tawala cha UDA na iwapo uhusiano huo utatatiza majukumu yake. Anthony Mwaniki pia amehojiwa kuhusu kuhusika kwake katika sakata ya ununuzi wa ardhi jijini tokyo nchini Japan, suala ambalo lilipelekea ashtakiwe lakini akaondolewa mashtaka.