- 416 viewsDuration: 4:02Serikali ya kaunti ya Busia imezindua rasmi zoezi la chanjo ya virusi vya mpox kwa watu walio katika hatari ya maambukizi ya virusi hivyo katika kaunti hiyo ya mpakani mwa kenya na uganda. Wito umetolewa kwa wenyeji kujihadhari zaidi dhidi ya maambukizi ya virusi hivyo kwa kuzingatia usafi.