- 636 viewsDuration: 2:45Mshauri wa rais kuhusu haki za wanawake Harriette Chiggai ametoa wito kwa sekta ya binafsi kujiunga na vita dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia, akisema swala hilo bado ni kikwazo kikubwa katika kufikia uwezo kamili wa wanawake. Mshauri huyo anasema kwamba visa hivi vinazuia wanawake kujiendeleza na kuijenga kiuchumi.