- 1,767 viewsDuration: 5:36Kuharibiwa kwa mazingira na binadamu, ongezeko la watu na mabadiliko ya tabianchi ni muiongoni mwa sababu zinazoaathiri makazi ya aina tofauti ya nyani ambao wana umuhimu mkubwa kwa mazingira yetu. Watafiti wanasema ili kufaulu katika kulinda wanyama hawa ni lazima jamii ihusishwe katika maswala ya uhifadhi na utangamano na wanyama hawa.