- 4,441 viewsDuration: 2:42Hofu na taharuki imetanda mjini Kitale huku magenge ya wahalifu yakiwakosesha amani wakazi. Mitaa ya Tuwani na Matisi imetekwa na magenge hayo yanayohusisha makundi ya vijana wenye umri wa kati ya miaka 13 na 30. Vijana hao wamekuwa wakiwahangaisha wenyeji kwa kutumia mapanga na rungu nyakati za jioni na kuwasababisha wafanyakazi na wafanyabiashara kufunga shughuli zao mapema