- 1,317 viewsDuration: 2:32Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini -iebc, ametangaza mikakati ya chaguzi ndogo 23 zitakazofanyika tarehe 27 mwezi novemba mwaka huu. Erustus ekethon amesema kuwa tume hiyo iko tayari kwa chaguzi hizo ndogo. Ethekon amewataka wawaniaji wote kuangazia sheria zilizowekwa huku muda wa kampeni ukitanagazwa kuanza tarehe nane oktoba. Stephen letoo na mengi zaidi.