Skip to main content
Skip to main content

Timu ya chapa dimba yaelekea uhispania kwa kambi ya mazoezi

  • | Citizen TV
    310 views
    Duration: 1:44
    Timu ya safaricom chapa dimba all-stars imepangiwa kambi ya mazoezi ya kimataifa nchini uhispania kuanzia jumamosi. Timu hiyo ya wachezaji 25 bora zaidi itaelekea huesca kwa kambi ya mazoezi ya wiki nzima ambayo inaahidi kuinua maisha yao ya soka.