4 Sep 2025 10:18 am | Citizen TV 768 views Duration: 1:20 Mwanamume mmoja adaiwa kumuua mkewe kwa kumdunga kisu kufuatia mzozo wa kinyumbani majira ya saa mbili usiku maeneo ya Njiru,Budalangi kaunti ya Nairobi