4 Sep 2025 10:23 am | Citizen TV 247 views Duration: 44s Wito umetolewa kwa vijana wa kaunti ya Garissa kujisajili kuwa wapigakura kwa kupata vitambulisho kwa wingi ili kufanya mageuzi ya uongozi wanaotaka ifikapo mwaka wa 2027