4 Sep 2025 10:32 am | Citizen TV 91 views Duration: 1:45 Wakaazi katika Gatuzi dogo la Msambweni Kaunti ya Kwale wamenufaika na mradi wa maji uliofunguliwa na Gavana Fatuma Achani hivi karibuni. Mradi huo unalenga kupunguza tatizo la maji lililoshuhudiwa kwa muda mrefu