Skip to main content
Skip to main content

Hospitali ya JOOTRH yapata mashine za kisasa

  • | KBC Video
    165 views
    Duration: 1:47
    Wataalamu wa afya na wagonjwa wanaougua selimudu katika kaunti ya Kisumu wamesifia uzinduzi wa mashine ya kisasa ya kusafisha damu kwenye hospitali ya mafunzo na matibabu maalum ya Jaramogi Oginga Odinga wakiitaja kuwa hatua muhimu ya kuthibiti ugonjwa huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive