- 39 viewsDuration: 2:15HALMASHAURI YA SHA Wachimba madini wapatao 2,000 kutoka kijiji cha Osiri, eneo la Nyatike katika kaunti ya Migori wamejisajili kwa halmashauri ya afya ya jamii, SHA, wakati serikali inapojizatiti kuboresha upatikanaji wa huduma za matibabu Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive