Skip to main content
Skip to main content

Alex Kipkirui ang’ara KCSE licha ya kuugua na kukatiza masomo kwa miaka kumi

  • | Citizen TV
    1,084 views
    Duration: 3:16
    Kijana mmoja katika kaunti ya Kericho ameandikisha matokeo bora kwenye mtihani wa kitaifa wa KCSE, licha ya kuugua na kulazimika kukatiza masomo yake kwa miaka kumi. Alex Kipkirui alirejea kufanya mtihani wake wa KCSE mwaka jana huku akiwa na majeraha ya uti wa mgongo yaliyomkosesha uwezo wa kutembea. Kwa yote haya, Alex amepata alama ya B na kuwa bora katika shule ya Borborwet eneobunge la Belgut,