Skip to main content
Skip to main content

Aliyehukumiwa kwa kuchomwa sindano ya kifo aamka na kuzungumza

  • | BBC Swahili
    28,833 views
    Duration: 1:29
    Mfungwa wa hukumu ya kifo nchini Marekani, Christa Pike, ambaye alinusurika kuuawa kwa sindano ya sumu wiki iliyopita, sasa ana fahamu na anaweza kuzungumza, kwa mujibu wa mawakili wake. Frank Mavura anaelezea Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw