Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Nairobi Mike Mbuvi Sonko alijitetea dhidi ya madai ya mkinzano wa maslahi, miongoni mwa mashtaka mengine yanayohusiana na makosa ya utoaji zabuni wakati alipokuwa mamlakani. Sonko aliyefika mbele ya hakimu Charles Ondieki wa mahakama ya Milimani, alijitetea kwa kutoa ushahidi kwa kutumia video na mkanda wa sauti huku akiiambia mahakama kwamba mashataka dhidi yake yalikuwa yamechochewa kisiasa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive