Chama cha Wanawake katika Vyombo vya Habari nchini Kenya, (AMWIK) kimewaleta pamoja wanahabari kutoka ngazi mbalimbali katika mkutano uliolenga kutaka mazingira bora ya kazi wanawake wanapotekeleza majukumu yao ya uana habari.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya