14 Sep 2026 1:34 pm | Citizen TV 695 views Duration: 1:34 Askofu Kimengich amekemea vitendo vya uhuni wa kisiasa na kuwataka Wakenya wapewe uhuru wa kuchagua viongozi wanaowataka bila vitisho au kulazimishwa.