- 222 viewsDuration: 2:37Baadhi ya maafisa wa muungano wa walimu wa KUPPET sasa waitaka wizara ya elimu kutangaza likizo fupi ya muhula wa pili, ili kudhibiti visa vya utovu wa nidhamu. Akizungumza jijini Kisumu, katibu wa KUPPET kaunti hiyo George Osura asema kuwa walimu wengi kwa sasa wanahofia usalama wao kutokana na visa vya mgomo shuleni.