Skip to main content
Skip to main content

Bandari Youth yaifunza Dandora Soka

  • | Citizen TV
    242 views
    Duration: 46s
    Timu ya Bandari Youth imeanza mwaka wa 2026 kwa kishindo katika ligi ya daraja la kwanza kwa kuinyeshea dandora youth mabao sita kwa bila. Erisat Orute alifunga mabao matatu kwenye ushindi huo.