- 1,447 viewsDuration: 3:58Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Bungoma Wycliffe Wangamati na gavana wa kaunti ya Bomet Hillary Barchok waliachiliwa huru na mahakama ya kushughulikia kesi za ufisadi jijini Nairobi ambako walikabiliwa na kesi za ufisadi wa mamilioni ya fedha. Viongozi hao wawili pamoja na washirika wao waliachiliwa kwa masharti tofauti ya dhamana huku mahakama ikiwawekea masharti makali kabla ya kusikizwa na kuamuliwa kwa kesi zao. Letuaa Debra na kina cha taarifa hii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News