- 249 viewsDuration: 2:28Kampuni za uchimbaji madini zitaanza kupokea leseni zao katika muda wa miezi mitatu baada ya kutuma maombi kulingana na masharti mapya ya uchimbaji madini. Waziri wa madini, uchumi wa majini na masuala ya baharini Hassan Joho anasema utoaji haraka leseni hizo utasaidia katika ukusanyaji mapato yatakayotolewa kwa jamii zinazoishi katika maeneo ambako madini hayo yanachimbwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive