- 297 viewsDuration: 1:44Bunge la kaunti ya Siaya lakataa kuidhinisha uteuzi wa watu wawili waliopendekezwa na gavana James Orengo kuhudumu katika baraza lake la mawaziri, likisema gavana huyo akiuka katiba kwa kuwarejesha baadhi ya waliowahi kukataliwa na bunge hilo.