Baada ya miongo mingi ya ukame katika eneo la Kibwezi, kaunti ya Makueni, mabadiliko makubwa yameshuhudiwa kufuatia ujenzi wa bwawa la maji lililofadhiliwa na halmashauri kitaifa ya udhibiti wa ukame kwa ushirikiano na jumuiya ya Ulaya. Hapo awali, wasichana na wanawake walilazimika kutembea zaidi ya kilomita 20 kutafuta bidhaa hiyo ya thamani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive