- 403 viewsDuration: 1:53Balozi wa vijana kuhusu amani katika kaunti ya Kisii Caleb Ondieki anadhamiria kuongoza msafara kutoka Kisii hadi kaunti ya Nakuru kama njia ya kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kudumisha amani uchaguzi mkuu unaponukia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive