Skip to main content
Skip to main content

Chama cha maafisa wa afya ya umma chataka serikali kuimarisha maandalizi ya kukabiliana na Ebola

  • | Citizen TV
    539 views
    Duration: 1:14
    Chama cha Maafisa wa Afya ya Umma nchini, APHOK, kimeitaka serikali kuimarisha maandalizi ya kukabiliana na Ebola na magonjwa mengine ya kuambukiza. Katibu Mkuu wa APHOK, Mohamed Duba, anaonya kuwa upungufu wa maafisa wa afya katika vituo vya mipakani unaweza kudhoofisha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa.