Skip to main content
Skip to main content

Chama cha PM party yataka linda mwananchi kutumia chama hicho kuelekea 2027

  • | Citizen TV
    5,041 views
    Duration: 1:45
    Chama cha People’s Movement, PM Party, kinachoongozwa na Mbunge wa Saboti Caleb Amisi, kimelitaka vuguvugu la Linda Mwananchi kutumia chama hicho kuendeleza shughuli na malengo yake ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.