Skip to main content
Skip to main content

Chama cha UDA kuandaa marudio ya chaguzi za mashinani

  • | KBC Video
    3,787 views
    Duration: 4:00
    Kamati kuu ya kitaifa ya chama cha UDA imeamua kuandaa marudio ya uchaguzi, kufuatia malalamishi kadhaa yaliyowasilishwa kuhusiana na chaguzi za mashinani zilizokamilika hivi majuzi. Mwenyekiti wa UDA Cecily Mbarire, alisema uamuzi wa kurudia chaguzi hizo utahakikisha zoezi hilo ni huru na la kuaminika. Chama hicho kitaandaa chaguzi za marudio kwenye vituo husika vya kupiga kura katika kaunti-42, mnamo tarehe 7 mwezi Machi mwaka huu kwa awamu ya tatu na tarehe 28, mwezi Machi, mwaka huu kwa awamu ya pili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive