3 Sep 2025 10:11 am | Citizen TV 1,083 views Duration: 1:40 Taharuki imetanda miongoni mwa wahudumu wa afya kaunti ya Trans Nzoia baada ya daktari mmoja kushambuliwa katika eneo la Cherangany, shambulizi linalodaiwa kufanywa na familia ya mgonjwa aliyemhudumia