Skip to main content
Skip to main content

Dkt. Victoria Mutiso azikwa Makueni

  • | Citizen TV
    4,808 views
    Duration: 2:24
    Tukisalia kwenye mauaji hayo, Daktari Victoria Nthunya Mutiso amezikwa leo nyumbani kwa mumewe katika eneo la WANZAUNI huko Mbooni magharibi kaunti ya Makueni. Mazishi hayo yalisheheni majonzi huku familia ikisema mwendazake ameacha pengo lisilojazika, licha ya kusema kuwa wamewasamehe waliomuua Victoria