- 146 viewsDuration: 1:35Katibu wa idara ya serikali kuhusu baraza la mawaziri Idris Dokota amewataka wenyeji wa kaunti ya Tana River kujisajili na kupata vitambulisho vya kitaifa na kujisajili kama wapiga kura ili kupata fursa ya kuchangia kwenye maamuzi ya uongozi nchini.