Skip to main content
Skip to main content

Duale ampigia debe Rais Ruto

  • | KBC Video
    245 views
    Duration: 2:30
    Waziri wa afya Aden Duale amezirai jamii za Kaskazini ya nchi na Waislamu kwa jumla kuunga mkono azma ya rais William Ruto ya kuchaguliwa tena kwenye uchaguzi mkuu ujao. Duale anasema serikali inayoongozwa na rais Ruto imefaulu kuhakikisha maeneo ambayo awali yalitengwa yamepokea mgao wa rasilmali za kitaifa zikiwemo barabara za lami na uunganishaji wa umeme. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive