- 305 viewsDuration: 2:13Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) yaanzisha kampeni ya wiki moja dhidi ya ufisadi katika Kaunti ya Kakamega kwa lengo la kuhamasisha umma kuhusu maadili na kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika vita dhidi ya ufisadi.