23 Oct 2026 10:07 am | Citizen TV 283 views Duration: 1:46 Familia 63 eneo la Mbuyuni huko Taveta kaunti ya Taita Taveta zinaishi kwa hofu ya kufurushwa kutoka ardhi wanayoishi licha ya serikali kuwapatia hatimiliki miaka 20 iliyopita.