Skip to main content
Skip to main content

Familia mbili Mombasa zatafuta wapendwa waliotoweka baada ya kukamatwa

  • | Citizen TV
    4,918 views
    Duration: 3:20
    Familia mbili huko Mombasa zinawatafuta wapendwa wao waliotoweka usiku wa Ijumaa. Saidi Shaffi na Yasin Ahmed walikamatwa baada ya kuachiliwa na maafisa wa kupambana na ugaidi kwa tuhuma za kujihusisha na kundi la kigaidi la ISIS nchini DRC. Haya yanajiri huku mwanamume mwingine aliyekuwa amekamatwa nao akisimulia kile anachosema kilijiri usiku kabla ya kuachiliwa kwao. Francis Mtalaki anaarifu.