Skip to main content
Skip to main content

Familia moja kaunti ya Migori imekuwa ikiishi kwa hofu baada ya jamaa yao kutoweka

  • | Citizen TV
    211 views
    Duration: 1:25
    Familia Moja katika Kijiji Cha stella eneo bunge la Uriri kaunti ya Migori Kwa wiki Moja Sasa imekuwa ikiishi Kwa hofu baada ya jamaa Yao kutoweka alhamisi wiki Jana. Familia ya Ronald Isaboke wanaeleza kuwa jamaa Yao William Isaboke alitoka kuelekea katika soko la Stella kama kawaida lakini hakurudi nyumbani tena. Familia hiyo wanaomba yeyote ambaye anaweza kuwa na Taarifa yoyote kuhusu jamaa Yao kupiga ripoti katika kituo Cha polisi Cha Mukuyu.....