22 Oct 2026 1:35 pm | Citizen TV 1,751 views Duration: 1:47 Familia moja katika kijiji cha Ntigin, eneo la Nairagie Enkare, Narok Mashariki, imehuzunika baada ya jamaa yao mwenye umri wa miaka 29 anayeugua kifafa kupotea.