10 Dec 2025 1:07 pm | Citizen TV 985 views Duration: 1:43 Familia moja katika kijiji cha Fihoni kaunti ya Kwale inalilia haki baada mtoto wao msichana mwenye umri wa miaka 16 kuuawa kisha mwili wake kutupwa katika kijiji jirani baada ya kutoweka kwa siku tatu.