Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Abdi Yabarsen kutoka Murule yafanya kikao na kumtawaza rasmi bunge Mohamed Abdikheir

  • | Citizen TV
    416 views
    Duration: 1:09
    Baada ya familia ya Abdi Yabarsen kutoka Murule yafanya kikao ya siku saba na kumtawaza rasmi bunge wa sasa kuwani mara ya pili . Wazee na viongozi wa jamii ya Murule Weytan wamtangaza rasmi mbunge huyo Hon. Mohamed Abdikheir, kuwa mgombea wao pekee wa kiti cha ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 chini ya mfumo wa demokrasia ya maelewano.