16 Jan 2026 10:15 am | Citizen TV 348 views Duration: 1:59 Familia moja kutoka kijiji cha Mukutma kaunti ya Bomet inalilia haki baada ya mwana wao mwalimu wa JSS, Caroline Ngetich , kuaga dunia wiki moja iliyopita kwa njia tatanishi.