- 1,962 viewsDuration: 2:57Familia moja eneo la Nunguni, Kilungu, Kaunti ya Makueni, inalilia haki kufuatia kifo cha mwanao mwenye umri wa miaka 45 akiwa kizuizini katika Kituo cha Polisi cha Kilungu. Gedio Makau alifariki saa chache baada ya kukamatwa na polisi kwa madai ya kuwatishia wakazi wa eneo hilo. Polisi wanadaiwa kusema alijitia kitanzi akiwa kizuizini.