- 1,275 viewsDuration: 2:07Familia moja huko Makongeni, thika inataka uchunguzi wa kina kufanywa kufuatia kifo cha mwana wao ambaye aliaga dunia baada ya kuanguka kutoka jengo mtaani humo. Familia ya Dec Muniko, inadai kuna uwezakano kuwa kijana huyo alisukumwa na polisi wakati walikuwa wakiendesha operesheni kwenye chumba alichokuwa